steve caver/

steve caver/

sTIVE FRIEND

Tuesday, October 9, 2012

Batuli kung'ara kwenye My Life


 Mwanadada anyekuja kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini ambaye kwa sasa amezidi kung'ara mara mbili ya mwanzo, Batuli amesema hivi sasa yupo Location kwaajili ya ujio wa filamu mpya ya My Life. Alisema filamu hiyo ambayo itazidi kumweka kwenye kiwango cha juu kutokana na kujituma kwa juhudi
 Katika filamu hiyopia yupo Tafu, ambaye pia alikuwa Director wa ziada katika filamu hiyo ya My Life

 Mama Mjata naye alikuwa miongoni mwa waigizaji wa filamu hiyo







Diamond Plutnum kushoot Magwepande

  Mwanamuziki ambaye kwa sasa analitikisa gemu la muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdull 'Diamond Plutnum' amedokeza kidogo kwa kusema video yake mpya ambayo aliifanyia Audition kwa mara ya....
kwanza, Nyumbani Lodge, anatarajia kuifanyia sehemu mbalimbali ikiwemo katika eneo la Magwepande. Diamondi alisema video hiyo ambayo kwake anaona itakuwa sehemu ya kuwapa ajira vijana wenzake wapatao ishirini, kumi wakiwa wanawake na kumi wanaume watakaoonekana kwenye video hiyo.  Diamond alizidi kusisitiza kwamba video hiyo pia itafanywa nje ya nchi, ingawa kwa sasabado hajakuwa tayarikutaja nchi hiyo.

Mmoja ya washiriki wa Audition ambaye amefanana na Diamond Plutnum