MKURUGENZI
wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka, amesitisha utoaji wa filamu ya Watoto wa mama Ntilie, mpaka zitakapotoka
stika za Shirika la Mapato Tanzania ‘TRA’ na kauli ya Waziri wa Elimu kuhusu
msaada wa kitabu hicho.
amesema kwa sasa amesitisha kazi zake zote hadi za muziki, hadi stika hizo
ambazo zitasiamia kazi za wasanii zitakapotoka hapo mwakani.
Alisema pia
yupo kwenye mazungumza na wizara ya Elimu juu ya kusaidia kidogo kuweza
kukusambaza filamu hiyo inayotokana na kitabu cha kidato cha tatu na nne.
“Nikitabu
ambacho nahitaji kusambaza katika shule za sekondari, ili watoto wajifunze kwa
kuangalia” alisema.
Kitabu hicho
anatarajia kukisambaza bule katika mashule ya sekondari, na vingine kuviuza kwa
bei nafuu kwa watu ambao watakihitaji.