Siku ya jumamosi ya majuzi wasanii wa filamu wote walikutana katika
viwanja vya Dar Live katika tamsha la Siku ya Masuper Star Lengo kubwa
lilikuwa kujenga urafiki na mashirikika mengine pamoja na kukusanya
fedha zitakazo saidia kujenga Ofisi ya hadhi ya shirikisho la Wasanii
maarufu kama TAFU chini ya raisi wa shirikisho hilo Simon Mwakifamba.
Katika tamasha hilo pia walimwarika Meya wa Ilala Jery Slaa, huku
wasanii wenyewe ndio wakiwa watoa burudani wakubwa katika tamasha hilo
Picha zaidi za wasanii ndani ya ukumbi wa Darlive
No comments:
Post a Comment