mwanamuziki wa kizazi kipya Amani Temba ‘Mh Temba’
amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya
Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo kwenye
gari hilo.
Akizungumza na mwandishi wa safu hii, alivitaja alisema baadhi ya vifaa walivyoiba ni Power
Windor zote, Camera, Dashboard, Cd, mawani na document zingine za kazi zake
ikiwemo mikataba ya kazi.
Alisema gari hilo alililaza maeneo ya nyumbani kwake Mbagara
ambapo mara nyingi amekuwa akililaza, lakini safari hii alipotaka kwenda
kulichukuwa asubuhi alikuta vio vidogo vya nyuma vikiwa vimevyunjwa na
kufunguliwa mlango.
“Wamechukuwa haki karatasi ambazo nilikuwa nataka kuzifanyia
kazi zangu, mikataba yaani wamenirudisha nyuma sana” alisema.
|
No comments:
Post a Comment