steve caver/

steve caver/

sTIVE FRIEND

Thursday, January 10, 2013

Baby J na Say Nag kukinukisha Jumapili Billicanas

Wanamuziki wawili kutokea Zanzibar, Baby Ja na Say Nag wanatarajia kuonyeshana umwamba katika Club Billicanas katika juma pili hii, baada ya kuwa katika bifu la maneno kwa muda mrefu. Wasanii kibao wanatarajia kwenda kusindikiza show hiyo, huku kila mmoja akiwa amejipanga na madensa wake kwaajili ya kuonyesha uwezo wake ni bora ya mwenzake.

No comments:

Post a Comment