Siku ya leo msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alikuwa akiimba mchiriku (Mnanda) Omari Omari amezikwa katika makabuli ya maeneo ya kwao ya Temeke Mikoroshini. Mwanamuziki huyo mazishi yake yaliudhuliwa na wasanii wengi, lngawa si kama vile watu walivyofikiria. Hata hivyo katika msiba huo, hari ya hewa haikuwa mzuri wakati wa kuzika, baada ya ya vijana kuonyesha kutaka kuzika kama wanavyohitaji wao, na kutokea marumbano kidogo.
Mwili wa marehemu ulizikwa salama baada ya kufika katika makabuli hayo
Meneja wa kundi la Tmk na Mkubwa na Wanawe, saidi Fella yeye alijitolea kusimamia shughuli za msiba mpaka zinakwisha.
Mwanamuziki Juma Kasim Nature akiwa kwenye pozi
Raisi wa shirikisho la wasanii wa filamu nchini, Saimon Mwakyamba akifurahi akiwa katika msiba.
Dr Cheni na mzee Yusufu
Inspecta Haroon
Dully Syskes
Ally Jay na mwakilishi wa Bongo Movie Chiki Mchoma.
Mwanamuziki Dully Syskes, Chege Chigunda na Mwana Fa.
No comments:
Post a Comment