Raisi wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete jana amekamilisha katika safari
ya mwisho ya msanii wa filamu nchini Juma Kilowoko 'Sajuki'katika
makabuli ya kisutu jijini Dar es salaam. Katika mazishi hayo
yaliyofanyika muda wa saa saba yaliudhuliwa na viongozi mbalimbali,
pamoja na wasanii wengine kutoka tasnia mbalimbali kuhakikisha
wanakamilisha safari ya mwisho ya msanii huyo ambaye ameteseka kwa muda
mrefu kutokana na maradhi ya uvimbe.
No comments:
Post a Comment