steve caver/

steve caver/

sTIVE FRIEND

Saturday, January 19, 2013

Mwakifamba ataka wasanii kuwa kitu kimoja

  Shirikisho la wasanii Tanzania 'TAFF' leo limefanya kikao ili kuweza kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuendesha shirikisho hilo, kutokana na upungufu wa fedha walizokuwa nazo. Raisi wa shirikisho hilo Simon Mwakifamba, alisema shirikisho hilo halitegemei fedha kutoka Serikalini hivyo ni juhudi zao pekee ndizo zinazoweza kufanikisha kwao. Alisema pia sheria mbalimbali zimekuwa zikiwabana, hivyo huu ni wakati wa wao kuungana na kushikamana ili kuweza kupamba juu ya ufisadi wanaofanyiwa, kwenye tasnia yao kuanzia kwenye sheria ambao inawapa nafasi kubwa Wasambazaji kuwa na haki.
 Dino akiwa na Cloud 112, wakifuatalia kikao
 Dr Cheni akifuatilia kikao kwa umakini
 Wasanii wakifuatitilia kikao

 Nyerere the power akisikiliza mkutano ukiendelea





No comments:

Post a Comment