Bendi ya Twanga Pepeta, imepata wanenguaji wapya ambao wamepania
kufanya makubwa kwenye bendi hiyo. Wanenguaji hao wametokea katika bendi
ya Extra Bongo, wamesema lengolao kufanya makubwa katika bendi hiyo ya
Asha Baraka. Wanenguaji hao ni Morine Mishebeduo, Happy wa Danger na
Lightness
No comments:
Post a Comment