MOTO
steve caver/

sTIVE FRIEND
Saturday, January 12, 2013
Msanii wa filamu apata ajali akatwa mguu
Mwigizaji wa filamu wa Rashidi Waziri Matata amepata ajali ya kugongwa na gari leo na kuumia vibaya sana hadi kupelekea kupelekwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kulazwa katika wodi ya Sewa hadi 18. Taarifa zinadai msanii huyo kwa sasa amekatwa mguu mmja kutokana na ajali hiyo. Wasanii wote wanaombwa kwenda kumuona na kumsaidia msanii mwenzao kwa kile kilichomkuta, kwani kabla hujafa hujaumbika.
Rashidi Waziri Matata akiwa katika moja ya kava la filamu ya Nguvu ya Damu. Nyerere the Power inamtakia nafuu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment